Moja ya itikadi zetu ni kurudisha katika jamii kwa namna yotote ile ili kubadilisha mazingira ama kusaidia kuboresha maisha.
Graphic Systems LTD, kupitia chapa yake ya rangi ya Coral paints ikitoa msaada wa rangi na kupaka rangi katika wodi ya watoto ya Tumaini La Maisha katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

GET IN TOUCH WITH US

Should you have any questions concerning with our products/brands, our supporting team are always ready to help please feel free to contact us.

TOP